Kwa Sasa tumejaribu kulishughlikia Jambo hili, hili tuweze kurudisha blog kwenye mfumo wake tumeshindwa kufikia lengo badala yake tumefanikiwa tu kuingia kwenye dashbord kama AUTHOR tu yaani mwandishi na sio ADMIN kwani email ambayo ingefaa kuingilia Kam admin ndio hiyo waliyoidukua.
Kwa Sasa mtaendelea kujifunza masomo haya kama kawaida kupitia blog mpya ambayo tumeianzisha hili WAFUATILIAJI wetu msikose kujifunza maarifa haya hivyo kwa sasa tunapatikana kwenye blog hii copy haya maneno yenye herufi kubwa na upaste kwenye browser yako TIBAZETUTZ.BLOGSPOT.COM
MAWASILIANO YETU KWA SASA NI
0787 675021 WhatsApp,call and sms
Monicajonathan2000@gmail.com
Karibuni