Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 9 Oktoba 2017

hata kama umefungwa kwa uchawi mkubwa kiasi gani dawa zangu hizi zitakufungua

iwe umefungwa kibiashara,chombo cha usafiri,chombo cha uvuvi,umefungwa mwili wako,n.k


fuata hatua hizi

~chukua mchanga wa makaburi 7~chukua mchanga wa njia panda 7~chukua mchanga wa soko kuu ndani ya mji wako~chukua mchanga wa stendi kuu
baada ya kupata vifaa hivyo tafuta~msaka uchawi~kiapo cha wachawi
~mfunguo


changanya dawa zote hizi pamoja 

kwa biashara
~oshea kwenye biashara ukiwa umechanganya na maji vuguvugu

kuufungua mwili,nyota iliyofungwa
~pika dawa hizo jifukize na uoge kwa siku7

hata kama aliroga mrogaji uchawi mkubwa kiasi gani patafunguka tu kwa lazima,na kila kitu kinarudi sawa