Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 9 Oktoba 2017

hizi ndiyo dawa za kung'arisha nyota yako katika biashara


Habari yako mdau wa tibazetu

watu wengi wamekuwa wanapata changamoto mbalimbali katika sehemu zao za biashara hususan sehemu yenye biashara nyingi za aina moja kama vile maduka,sokoni,mahoteli,migahawa n.k

katika sehemu yenye biashara zinazofanana kila mtu anahangaika jinsi gani ya kuweza kufanya wateja wengi ama hata wote waelekee kwenye biashara yake tu na hapo ndipo wengine huenda kwa waganga ambao huzichafua biashara zingine hili ya mteja wake iweze kuwa juu na wateja wote waje hapo.

sasa hapa chini nimewawekea dawa ambazo zina uwezo wa kung'arisha nyota yako kama utaziandaa kitaalam na kuifanya biashara hiyo iwe tofauti na zingine zinazokuzunguka



mwita wa baharinyota nyeupempasua jabarmharaka 
mlipu
barutimwatya
mfunguomsusula
udi marashi
mpendapendamuosha fedhamvuto
mvumounga wa pilipili mangachanganya pamoja dawa hizi
oga na ujifukize dawa hizi kila siku kwa siku3

utaona maajabu makubwa katika biashara hiyo