Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 21 Novemba 2017

mkunazi unavyotumika katika kumlazimisha mpenzi wako akupe chochote unachotaka hata kama ni mgumu











-chemsha mizizi na utumie kwa kunywa nusu kikombe cha dawa hii hata kama mume alikuwa hakusikilizi ukiitumia itakusaidia sana atakusikiliza na pesa utapatiwa ikiwa alikuwa mchungu

-ikiwa mume/mke ana pesa ila mchungu mno wa kutoa pesa yake au hatoi pesa anakuwa mgumu wakati anazo basi tumia tiba hii hakika ataingia mfukoni na kukupatia pesa inayoweza kutosha mtaji pia atakupenda sana

Jinsi ya kufanya
-chukua majani ya mkunazi
-majani ya papai makavu yaliyoanguka yenyewe
-majani ya mpera yaliyokaukia mtini
-500 ya noti aliyokupa huyo mheshimiwa saga vyote pamoja kisha tia kila siku katika mlo anaokula atatoa pesa kwa namna ya ajabu sana na hutaamini

ILANI
Tiba zote hazitofanikiwa ikiwa nyota yako ina hitilafu au matatizo au una jini mbaya mwilini