Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 21 Novemba 2017

kwa mnaosalitiwa kimapenzi hili tango linawahusu hebu wakomesheni hao watu watulie


Ukihitaji kuvutiwa mpenzi wako kama unahitaji dawa za mapenzi limbwata n.k. usisite kunitafuta kupitia namba zangu,ndani ya siku 3 huyo mtu wako atakuwa unavotaka wewe!
0653 532036 whatsapp&imo
0764 995259
tibazetutz@gmail.com

WASALITI TANGO NDIYO KIBOKO YAO!
🥒🥒🥒🥒🥒
 tango hutumika kumtuliza mume wako au mpenzi wako 🍎🍎🍎

FUATANA NAMI
Chukua nguo yake au kitambaa cha nguo yake liandike jina lake na manuizo yako

Chukua tango na kijiti cha mti wa muembe andika nje yake jina lake na manuizo yake

Andika juu ya tango au nje ya tango jina lake kisha manuizo yako

Kisha lipasue kwa juu kisha ingiza kile kitambaa chake humo na huku unanuia "nakukaanga moyo wako upoe kama ladha ya tango huwa haiwi kali mpaka iongezwe chumvi basi na wewe nipende kama chumvi inavyopendwa nuia hivyo ilihali unaingiza punje za almit"

Baada ya hapo chukua chungu kipya ingiza tango lako katika chungu na ulikoroge humo likiwa jikoni huku unanuiza vile vile mpaka liive liwe halina sura ya tango yani liharibike kabisa sura yake 

baada ya hapo utachukua kidogo mno utajipakaa kule kwa bibi au babu kwa  manuizo kuwa asione utamu zaidi ya hii ......na asithubutu kugusa zaidi yangu mimi

bonyeza link hii upakue application ya tiba zetu

kisha fanya ukutane nae msex halafu kuanzia hapo kitakachofuata utamuendesha kama unavotaka 😂😂😂😂