Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 1 Februari 2018

Jinsi ya kumfunga na kumtuliza mpenzi asikuache wala kuchepuka

Habari zenu wafuatiliaj Wa blog ya tibazetu

Kwa kuwa nimekaa kimya muda mrefu kwenye mambo ya mapenzi

Leo naweletea jinsi ya
"KUMFUNGA MUME/MKE AKUPENDE NA ASIKUACHE.

Mahitaji;
Chumvi ya mawe,ndele orijino Sio ya maduka ya dawa asili.karatasi nyeupe,peni nyekundu,kitambaa cheupe,udi mmoja.

Jinsi ya kufanya.
1. Chora duara kwa kuzuunguusha chumvi kisha kipindi unachora taja jina la mapenzi wako kwa kumuita Mara tatu.kisha Sema " NAKUWEKA KWENYE DUARA HILI UNIEPENDE MIMI TU NA USIMPENDE WALA USIENDE KWA MWANAMKE MWINGINE.
WEWE CHUMVI NI KIUNGO KTK MBOGA,BASI NA MM NIWE KIUNGO KWENYE MOYO WAKO WEWE FULAN BIN FULAN.

ukisha maliza kuchora andika jina la muhusika Mara tatu ,kisha nyunyizia ndele juu ya karatasi hiyo huku ukisema.

KAMA NINA JINA LAKO,BASI NINA MDOMO WAKO.USIMTONGOZE MWINGINE ZAIDI YANGU.
KAMA NINA JINA LAKO BASI NINA MACHO YAKO.YASIMUONE MWANAMKE MWINGINE MREMBO BALI YANIONE MM TU.
KAMA NINA JINA LAKO BASI NINA MOYO WAKO,USIMPENDE MTU MWINGINE KIMAPENZI BALI UNIPENDE MM TU.
KAMA NINA JINA LAKO BASI NINA MAAMUZI YAKO,USIAMUE CHOCHOTE BILA KUNISHIRIKISHA NA NIKIKUOMBA CHOCHOTE KAMA UNACHO BASI USIWE NA JEURI YA KUKATAA.UNIPE.
KAMA NINA JINA LAKO BASI NINA MIGUU YAKO,ISIENDE KWA MWINGINE YEYOTE KIMAPENZI BALI INIFUATE MM TU

Ukimaliza chukua vitu  vyote viweke kwenye kitambaa kisha vifunge fundo na uende ukafukie chini ya mti mkubwa.

Kipindi unafukia Sema,hapa kuna kimvuri,na binadamu yeyote anapenda kimvuri basi nakuweka hapa ili usihangaike kwenda kwa mwingine YEYOTE utulie kwangu tu kwani mm pia ni kivuri.


Usifanye dawa hii kama huyo unayemfanyia hujampenda kwa dhati kwa sababu atakuganda na atakuonea wivu sana.

Wanaohitaji mafuta ya kumtuliza mpenzi na akupe utakacho chochote ambacho kipo ndani ya uwezo wake yanapatikana kwetu.

Mawasiliano
0657739713
0764995259
Tibazetutz@gmail.com. 
Karibuni