Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 31 Januari 2018

dawa ya tatizo sugu la masikio kuuma na kutokusikia vizuri


Chemsha mizizi ya alovera kisha chukua  pamba za kusafishia sikio lowanisha pamba kwa Dawa uliyoichemsha kisha mpake dawa hiyo sikioni kwa kutumia pamba hiyo kutwa x2 siku 14

Kwa matatizo ya vidonda masikioni,usaha,kuuma,kuvimba,kusikia ngoma masikioni,kusikia makelele sikioni,kutoka na uchafu mwingi sikioni basi usisite kuwasiliana nasi
0657739713
0764995259
Tibazetutz@gmail.com