Nimewaandikia makala hii baada ya kuulizwa na marafiki wa Facebook na Whatsapp kuhusu magonjwa ya aina mbalimbali ya tezi( tumors ).
Leo nitawaelimisha ni sababu gani zinasababisha aina mbalimbali za vinundu vya nyama yaani tenzi mbalimbali zenye maumivu na visivyo na maumivu. Na kuwaelekeza aina gani ya tezi zinavyotibiwa na dawa zangu na zisizotibiwa na dawa zangu kwa kulazimika kupasuliwa hospitalini( hospital operation)
Jibu la langu kwenu ni kama ifuatavyo. Utafiti na uzoefu wangu wa kuchunguza aina mbalimbali za tezi kujitokeza kwenye viungo vya wagonjwa wangu vya ndani na nje ya mwili vimethibitisha kuwa vinategemea na aina ya chembe hai zake zilizotengeneza nyama ya tezi hizo. Zipo aina kama tatu za kujitokeza vinundu vya nyama vya tezi kama zifuatazo:
1)Vinundu vya nyama vya tezi vinavyojitokeza kwa kusababishwa na virus wa cancer.
2)Vinundu vya nyama vya tezi vinavyojitokeza kwa kusababishwa na mvurugo wa maumbile na utendaji wa DNA (anatomical and physiological DNA disorder)
3)Vinundu vya nyama vya tezi vinavyojitokeza kwa kusababishwa na mkwaruzo na kupelekea chembe hai za mwili kujilinda kwa kujenga vinundu vya nyama ya tezi.
Majawabu ya matibabu ni kama yafuatavyo:
Kwa upande wangu kama mtabibu naweza kutibu vinundu vya nyama ya tezi vilivyo sababishwa na virus wa cancer tu na siyo vinginevyo.
Tezi ninazotibu ni tezi dume, tezi tumbo uzazi(fibroid myoma), tezi za ini, tezi za bandama, tezi za mapafu, tezi za moyo, tezi za choo yaani bawasira na kazalika.
Matibabu yangu hayawezikani kwenye vinundu vya nyama vilivyo sababishwa na mvurugo wa maumbile na utendaji wa DNA( anatomical and physiological DNA disorder) wala vile vilivyojengwa na chembe hai zilizojilinda kutokana na mkwaruzo. Ushauri wangu wa tiba ya tezi hizo ni lazima zitibiwe kwa upasuaji hospitalini( hospital operation )
Pia nimegundua kuwa tezi dume na fibroid myoma ni matokeo mabaya ya sindano za kinga kwa wanawake wajawazito. Kila mwanamke aliyepatikana na fibroid myoma alikamilisha sindano za kinga akiwa mjamzito. Na mahojiano ya wanaume waliopatikana na tezi dume na wale wanaume wenye wake ambao walikwisha zaa kwa kutimiza sindano za kinga za ujauzito..
Hakuna mwanaume hata mmoja mwenye tezi dume ambaye ana mke au mpenzi asiye zaa. Wanaume wenye tezi dume wamebainika wote kuwa wana wake zao au wapenzi wao waliokwisha zaa kwa kutimiza sindano za kinga za ujauzito na hivyo wamethibitisha kuwa wamepata maambukizi ya virus wa cancer kutoka kwa wake zao ambavyo vimesababishwa na kinga za ujauzito zinazosababisha cancer ya fibroid myoma.
Naiomba serikali ya Tanzania kupitia wizara ya afya kufanya utafiti wa kuchunguza usalama wa kiafya wa aina zote za kinga za magonjwa kutoka mabara ya Ulaya, America na Asia.
Sasa unaweza kunieleza ni kinundu cha nyama cha aina gani ya tezi ulicho nacho? Je, kilijitokeza vipi ili nijipange namna ya kukutibu.
Wasiliana na mimi kwa matibabu kupitia namba hizo hapo chini
Poleni sana na magonjwa yanayowasumbua. Heri ya mwaka mpya. Asanten
+255 764995259 WhatsApp
+255 657739713