Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 30 Januari 2018

dawa kwa mtu aliyevimba tumbo au kujaa gesi

Habari za leo ndugu zangu
Image result for kuvimba tumbo Chukua kifuu cha Nazi kichome katika moto kisha kisage vizuri upate ule unga mweusi ikiwa afya yako ni nzuri tumia kijiko cha chakula cha dawa hii koroga kwenye maji ya uvuguvugu glasi moja kunywa asubuhi yote na jioni wakati Wa kulala Fanya hivyo ndani ya siku 4 utasahau matatizo hayo ya gesi

Usikose kufika ofisini kwangu kwa ajili ya tiba za maradhi mbali mbali haswa maradhi sugu ya vidonda vya tumbo sukari presha na matatizo yote ya kuongeza na kupunguza unene Dawa zipo tele karibuni kwa mawasiliano zaidi

call 0657739713
076499 5259