Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 8 Agosti 2018

Asili ya Pete za bahati

pete ya bahati ....nikimaanisha pete ya kuvuta bahati ni Pete ya maajabu.
Tunasoma na kusikia utawala wa nabiu Sulayman bin Dawdi  alikua akitawala Dunia ....akiwatawala Binadamu na Majini. Alikua akiuamrisha upepo umpeleke popote atakapo. Alikua akiongea na wanyama. Alikua akisikia sauti za wadudu mbali mbali. Majini alikua akiwatumikisha katika kazi mbali mbali ...ikiwemo kuzamia ndani ya maji au bahari kuleta vitu kadha wa kadha. Ni mfalme na Mtume. Mfalme huyu alikuwa akivaa pete ambayo ilimpa umiliki na nguvu kubwa.

Nimeyataja hayo kidogo ili tuone pete na kito zilianza kutumika tangu zamani. Wataalamu  wanaangalia pete na kito kwa kulinganisha madini yaliomo humo na maisha ya kila siku ya mwanadamu. Kito kina uwezo mkubwa wa kuzuia mawimbi yatokanayo na mwako wa mionzi ya jua. Jua linazo aina 7 za rangi linapowaka. Kila rangi inamuathiri mtu kutegemea na ilivyo nyota yake. Kuvaa pete stahiki na kito inakua ni sababu ya kuzuia madhara ambayo ungeyapata ...ikiwa ni kuvurugwa au kuharibikiwa mipango yako ya maisha ya kila siku. Usivae pete na kito ikiwa hujui maana ya kito hicho . Watu wengi wanavaa pete na kito kwa kutarajia mafanikio katika maisha ya kila siku lakini haiwasaidii chochote. Sababu kubwa ni kutotambua utaratibu mzuri wa kuvaa pete kwa utaratibu wa mzunguuko wa sayari hii ya jua ilivyo.

Kama na wewe ni mmojawapo ya watu wanaopendelea kuvaa Pete za aina hiyo unaweza kuwasiliana nasi kwa maswali,ushauri ama kununua

0764 995259 Whatsapp
0657739713