Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 31 Agosti 2018

kutoa mikosi,kijicho,husda,kuvunja uchawi mwilini na kukurudisha kwenye mvuto wako wa asili

🌳
     ðŸ’«MAHITAJI💫

⚡MAJI AINA SABA⚡
1.Bahari, 2.Chemchem, 3.Mvua, 4.Zamzam, 5.Umande, 6.Barafu, 7.Maji ya marashi

⚡DAWA ZA KUBATILISHA SIHRI AINA   SABA⚡
1.Mwavi, 2.Mpaja, 3.Kikali, 4.Mnengonengo, 5.Mbuyu, 6.Mkuyu, 7.Mkola

⚡DAWA ZA BARAKA (NSAMBA) AINA SABA⚡
1.Mkanya, 2.Msulula, 3.Kasela, 4.Mwezya, 5.Mvuto, 6.Kalilila, 7.Italigula

PIKA DAWA HIZO KISHA CHUJA NA UCHANGANYE NA ZAFARANI.

    ⚡MATUMIZI⚡
DAWA ITATUMIKA KUOGEA KIJIKO KIDOGO KUTWA MARA MBILI SIKU SABAA.

Usisahau kuleta mrejesho.