Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 18 Desemba 2018

jinsi ya kumjua mwanamke au mwanaume aliyewekewa tego la kiganga na mpenzi wake hili asichepuke

Tumefundisha dawa nyingi za mapenzi,zikiwemo dawa za mtu kumfunga mpenzi wake wa kike ama wa kiume hili asiweze kuchepuka.

Wengine huwafunga wapenzi wao hili kama unafanya nae mapenzi upatwe na ugonjwa wa ajabu,tupu zinasane na mambo mengine mengi.
Sasa ukitaka kujua kama mtu uliyenaye amefungwa kiganga/kichawi fanya yafuatayo.
-chuma jani la mwisho kabisa kwenye kilele cha mgomba
-Jani hilo litie kwenye uvungu wa kitanda alichokaa au kulala

Matokeo.
1.ukilitia tu jani uvunguni na likasinyaa hapohapo ujue huyo hafai na atakusababishia majuto.

2.kama jani litakuwa vilevile basi ujue yuko salama endelea kuenjoy.

Kwa maswali tiba na ushauri
0657739713 whatsapp.
0754049433.
0764995259