Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 18 Desemba 2018

Watu wengi kwenye mapenzi huwa wanalalamika kama ifuatavyo


nilikua na mahusiano  na fulani sasa ghafla ameniacha/amenitupa/amepunguza mawasiliano bila sababu yoyote

Je wewe unajua tatizo nini mpaka mpaka inatokea bila sababu yoyote,je unajua nini tatizo ??

Fahamu hivi
1.lazma atakua na mtu mwingine awe mwanamke/mwanaume maana haiwezekani mtu mpo pamoja vizuri alafu ukaanza kuona mabadiliko hili ndio wengi huwakumba na husababisha kutohudumiwa /kutorudi kwa mahusiano.

2.pesa
Wapo wanaobadilika ghafla kwa sababu ya pesa na hapo lazima akuache tu,atatafuta wa hadhi yake lakini ndio inarudi mule mule tu kuwa kapata mwingine wew hana mpango nawe!!

Sasa je inawezekana mkarudiana na mtu mnayependaba na akapatwa na shida hizo?
Naam hii kitu mnarudiana vizuri kwa kuzingatia sehem hizi /

Tuangalie vitu vya kuzingatia kipindi unaifanya hiyo dawa (mapenzi)
1.vuta subra (siri )juu ya jambo lako litaenda vizuri,sio kila mtu uliyemzoea unamwambia kama unafanya dawa atarudi tu.

2.unapoifanya dawa ya mapenzi huruhusiwi kumpigia/kumtext huyo mtu wako (kama huwezi kuvumilia bora usihangaike acha mwisho wa picha litokee /itokee atavyo taka akufanyie) kwasababu unavyo mpigia simu ile hali ya kuwa wew umemlipua moyo wake sawa sawa na ile dawa uliyofanya bure kwa sababu unavyomcheki cheki anaridhika na moyo wake hivyo hatokukumbuka wala kukujali itakua unamloga lakini ni bure

Inabidi uuchune hata siku 1/2/3/4 yategemea ulivyopangiwa na mtaalam wako na uisikilizie dawa inavyomsearch au subiri hata kutwa moja na akuanze yeye sio wew ukianza wew umeharibu itakua unacheza haimfiki kisawa sawa wew ukishafanya unatulia inamtafuta sasa ikimfika akikupigia kwako karudi mazima na ataanza na lawama nyingi tyuu za kulaumu

Na dawa zake za mapenzi ukizifanya vizuri tulivu wewe wiki haishi lazma mlengwa akutafute/arudi tena na atarudi kwa kishindo huto
amini hata akutupe hata mwaka /miezi yaan jeuli yote itakwish akisharudi mkiwa pamoja mdhibiti asikukimbie tena kumzibiti utanion)

Pia kuna daw nilizitoaga Nazo ni mujjarabu kabisa

Nakumbuka niliwahi kumfanyia mtu yeye alikuwepo arusha na mtu wake yupo kule nikampa maelekezo nikaifanya ile kazi niliifanya kama.
 mm ndio mwenye mtu wangu basi ulienda kama siku tatu yule jamaa akanipigia akasema yule mtu kanitafuta na anadai unioe nikamwambia kazi kwako hii hata wiki haikwisha

Kuna daw mmoja mnamata ile jani  unaweka mchagoni ile mujjarabu kabisa siku haishi utaona!!

 Call/WhatsApp
0657739713.
 0754049433.
0764995259.
whatsapp