Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 17 Juni 2018

THOTH KING OF WISDOM WA KHEMET

Huyu pichani ni Thoth, king of wisdom wa Khem. Ndo highest Lord wa Khem.

Mkono wa kulia ameshika Mer-ka-ba....alama ya mwili- ka- roho! Pia amevaa Ankh kifaa cha kukuzia spirit ya mwili(ka)!

Kushot o ameshika kalamu maana yeye ndo muasisi wa maandiko Khem(misri).(maandishi yalianzia Africa)

Amepiga magoti juu ya jicho la Horus alama ya pineal gland jicho la tatu ambayo ndo makao ya roho na inahusiana na melanin ambayo ndo inatupa rangi nyeusi ya ngozi yetu n.k.

kichwani amevaa helmet ya alama ya ndege Ibis...ndege huyu alikuwa muhimu sana kwa wenyeji wa Khem katika mambo ya sayansi ya kiroho.

Siku nikipata nafasi nzuri nitawapa hili somo hatua kwa hatua muelewe kama nyinyi Waafrika ndyo chimbuko la maendeleo yote mnayoyaona duniani...kabla ya kuja kuletewa tamaduni za MTU mweupe.


Muwe na sikukuu njema