Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumamosi, 13 Mei 2017

soma maajabu ya ndege huyu

Ndege huyu Anaitwa  ( حباري ) kwa lugha ya kiarabu 

Mafuta Yake Na Nyama Yake Dawa Ya Pumu ,
 Pia Nyama Yake Ukichemsha na pili pili manga Ukila Baada Ya Kuchemshwa Hunenepesha Uume, na Kutoa Magonjwa ya kifua ,

 Jicho lake la mkono wa kulia Ukiwa Nalo Hutopatwa Na mwenye jicho la Husda,

 jicho lake la  kushoto Ukiliweka kwenye kitanda bila mtu kujua Mtu Huyo Hatopata Usingizi,

 Kucha Zake ukizisaga Ukachanganya Na Mbegu Za Mti Unaoitwa Kwa kiarabu Huitwa ( المقسم ) Changanya na asali Umpe mtu umtakaye Atakupenda Sana Na Atakukubali kwa kila jambo,