Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 7 Mei 2017

Wajue majini 12 wanaopatikana Lango kuu la kuingilia kuzimu lililopo Upanga Dar es slaam

Leo tunawazungumzia majini 12 ambao hupatikana katika lango la kuzimu lililopo upanga jijini Dar es slaam.
Image result for lango la kuzimu
Kila nchi duniani lazima kuwe na malango ya kuingilia kuzimu,malango haya hutumiwa na majini na wachawi kwenda kwa mkuu wao Lusifer kuongeza nguvu zaidi ama kuchukua aina mpya za uchawi  na ushirikina ama kuweza kuyatumia majini 12 yanayopatikana huko

lango hili lililopo upanga linaitwa Mustallah,lango hili ni shimo kubwa linalowaka moto,yeyote atakayetaka kwenda kwenye lango hilo ni lazima kwanza afunge kwa siku3 kabla ya kwenda huko,na hapo ndipo yalipo makao makuu ya shetani katika ulimwengu wetu huu.

huko ndiko wanakopelekwa watu wanaotaka kupata utajiri wa kishetani,kwani shetani ni tajiri mkubwa sana ambaye anagawa utajiri wake kwa yeyote anayeweza kumfanyia atakavotaka.

aina hizi 12 za majini hupatikana katika shimo hilo ambalo ni lango la kuzimu na majini hawa ndyo wanaoleta tabu na kuzitesa familia nyingi za wananchi wa mji husika

1.ratafari
jini hili linashughlika na laana zote za ukoo,kuna baadhi ya watu hulalamika sisi familia yetu husumbuliwa sana na maradhi fulani,kutokuolewa,vijana wa familia kutumbukia kwenye madawa ya kulevya n.k,yaani ukoo au familia inakuwa na tatizo moja linalofanana kwa kila mtu.hii ndyo kazi ya jini huyu kuhakikisha anaangamiza ukoo kwa style hii.

2.Waidadat
jini hili kazi yake kubwa ni kuwafanya vijana wa kiume kuwa na mambo ya kike kike kama kuvaa hereni,kusuka nywele,kutoboa pua,kutinda nyusi n.k

3.Muzafari
kazi yake yeye ni kuzuia mafanikio,kama ukitupiwa jini huyu basi hakuna utakachofanya na ukafanikiwa abadan,unaweza kukopa kiasi cha pesa sehemu na ukaweka dhamana kitu fulani lkn cha ajabu pesa itaisha bila kujua imeisha kwenye mazingira gani ili mradi usiende mbele,ama ukitaka kufanya jambo lolote la maana basi vitatokea vikwazo vingi mpk ushindwe kulifanikisha jambo lako hilo

4.Munsaar
huyu yeye kazi yake kubwa ni kusimamia mapenzi ya jinsia moja(usenge)
mtu anakuwa anapenda mapenzi ya jinsia moja kuliko yalivyo maumbile yake,mwanaume kwa mwanaume au mwanamke kwa mwanamke

5.Latifu
jini huyu yeye kazi yake maalum ni kutia ufukara,kutoa mateso na kumfanya mtu awe pesa zake zinapotea potea tu kimaajabu

6.Tseumlee
jini llinalohusika na kuua watoto wakiwa tumboni,unakutwa mwanamke yeye kila akipata mimba zinaharibika tu katika mazingira ya kutatanisha ama mimba inayeyuka tu tumboni,pia ni jini anayeiba watoto hospitalini

7.Jujan
jini hili kazi yake kubwa ni kusababisha mtu apende kula udongo,yeye akiona ivo ndiyo anafurahi sana

8.Subiani
huyu chakula chake anachokipenda ni damu,kazi yake ni kusababisha ajali
pia linasababisha wanawake wasipate siku zao,kuumwa sana na tumbo nk

9.Jahad
yeye kazi yake ni kutorosha mali kutoka sehemu moja hadi nyingine,utakuta unafanya kazi au biashara kwa uangalifu mkubwa lkn kila siku ukipiga hesabu unapata hasara isiyoeleweka

10.Sifariru
majini haya yapo ya kike na kiume,kazi yao ni kusimamia shughli za umalaya,hapa ndiyo unakuta mtu aliyetupiwa jini hili hata afanye mapenzi na watu watano kwa siku haridhiki bado ana hamu tele,wakati mwingine unakuta mwanamke ana maisha mazuri lkn ni kahaba usijiulize kwanini,ni sifariru huyo akiwa kwenye ubora wake

11.Hazinan
yeye kazi yake ni kusimamia pombe,bangi na madawa ya kulevya,

12.Jube 
yeye kazi yake ni kuhakikisha anakutia utasa,utahangaika hospitali kila unapoenda utaambiwa huna tatizo lakini mimba haipatikani kamwe

kama mchawi akikukusudia kukutumia jini mojawapo kati ya hayo huwasiliana nao katika ulimwengu usioonekana na wanamtii kwa makubaliano maalum basi jini husika linakuja kwako kukamilisha kazi yake

majini haya yanaweza kutolewa ama kuuliwa kabisa ni rahisi tu.

kwa maswali,tiba na ushauri usisite wasiliana nasi kwa 
+255 653 532036 whatsapp
+255 764 995259
email
tibazetutz@gmail.com