Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 23 Julai 2017

aina 3 za majini wanaotumika katika chuma ulete za siku hizi

chuma ulete ni aina ya tatizo ambalo mwenye kukumbwa nalo anakua ni mtumwa wa kupata na kupoteza au kupata na kutumia bila mafanikio ,
AINA 3 ZA MAJINI NI MITHILI YA CHUMA ULETE
1-JINI LATIFA
jini huyu ni ktk majini hatari kwa kumsababishia kiti wake ufukara na akipata basi matumizi yake hovyo, anakua ni mtumwa wa kupata na kupoteza au kupata na kutumia bila mafanikio,
2-JINI JAHARI
ni jini ambae hana mambo mengi jambo lake kubwa ni hili jini huyu ni jizi la pesa, mtu mwenyekua na jini huyu anakua anafanya biashara sana lakin haoni ustawi wala mafanikio yeyote, unakua ni pata poteza,
3- JINI MURAFARI
hili ni jini linalomletea mtu mashaka jini huyu kuzuia mafanikio ya aina yeyot, kipato kua kigumu ,kushuka kielimu n:k. Ukiwa na jini huyu utaangaika xna na maisha,
AINA ZA CHUMA ULETE ZINAZOJULIKANA
watu wavivu wasiopenda kufanya kazi wanaohitaji kupata mahitajio yao ya msingi bila kutumia nguvu zao , kuvaa dawa maalumu tumbon na kuning'iniza kitovuni anapofika dukani, gengeni au sehemu alipokusudia kutoa pesa kubwa na kununua kitu cha thaman ndogo au kutoa pesa ndogo kama vile 500 na hamalizi matumizi kitendo kumrudishia chenji utampa pesa zaidi mwenyew bila kujijua, kwa macho y@ kawaida huwezi kuona
Namna nyingine
Mchawi kuchimbia kitu katk sehemu za biashara mfano sokoni, magengeni, madukan sehemu zenye mkusanyiko wa biashara huchimbia chungu au ndoo n:k kila siku inayopita pesa kuingia ktk kile kifa kilichotekwa kichawi kila wiki mwenyew kuja kuchua pesa pale,
Njia nyingine hii hapa
Mchawi kumtumtumia jini kumletea pesa jini huyu ni aina ya ghuul jizi la pesa ktk madroo  ya biashara utashtuka wakati wa kufunga mahesabu pe$a haiko sawa tayari ameshachukua na kumpelekea mchawi wake

(MCHAWI HANA AKILI)
jini huyu anakua na shart pesa anayomletea isilale nayo atumie siku ileile ndio maana mchawi wa namna hii hafanyi jambo la maana , 
kama unasumbuliwa na matatizo haya wasiliana nasi utapata suluhisho
0653 532036 watsapp
0764 995259
au tuandikie email 
tibazetutz@gmail.com