Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 7 Julai 2017

njia asili ya kupunguza mikono,matiti na tumbo


Tangawizi na limao ni viungo vinavyoaminika ktk kukausha mafuta na kuyeyusha mafuta mwilini
Leo tutavitumia viungo hivi asilia katika kupunguza ukubwa wa matiti,tumbo na mikono iliyoning'inia manyama uzembe

mahitaji🏾
tangawizi mbichi
🏽limao au ndimu

❣JINSI YA KUFANYA❣
Twanga tangawizi hadi ilainike sana kisha kamulia limao lako au ndimu
mchanganyiko huo jisugulie kwenye mikono kwa mda wa dk2 had 5 ILI   KUONDOA NYAMA ZILIZONING'IA MKONONI

Paka mchanganyiko huo matiti yako hayo unayotaka yapungue pakaa kwa mzunguko kwa kuvutia juu au katikati ya chuchu huku ukisugua taratibu kwa muda wa dk2 acha ikauke

KWA KUPUNGUZA TUMBO
chukua maji weka tangawizi,kisha chemsha ikichemka subiri iwe vuguvugu  kamulia limao au ndimu moja kunywa alafu paka tumboni mchanganyiko wa tangawizi mbichi na limao na usugue  sehemu zote unazotaka zipungue

❣fanya lile linalokuhusu tu.kama ni titi mikono au tumbo
❣tangawizi ikikauka unapaswa ufanye mazoez
❣kumbuka mazoez yote ya mikono husaidia titi lisianguke na pia lisimame dede
fanya hivyo mara mbili kwa siku ndani ya wiki mbili utapata  matokeo mazuri sana