Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 3 Agosti 2017

mwanamke aliyetembea na mume wa mganga azaa kuku

Mchepuko alinogewa na penzi la mume wa mtu...
Akaamua kwenda kwa mganga wa jadi  ili apate limbwata kali la kupora mume wa mtu...akaambiwa apeleke kuku ili kutengeneza hilo limbwata....wakafanikiwa  kulisuka hilo limbwata...
Sasa...🙇

Mwenye mume a.k.a mke wa mtu yeye mwenyewe alikuwa ni mganga,akashtukia mchezo mzima mapema..na yeyeakategua limbwata hilo...akafanikiwa...

Kilichotokea ni yule Mchepuko a.k.a mwizi wa waume za watu kunasa mimba ....baada ya miezi 9...akaenda hospitali kujifungua..akitegemea kumzalia mtoto buzi wake 🤣🤣🤣

Sasa huko hospitali...akazaa kuku,🐓 yuleyule kuku aliyempeleka kwa mganga ili kutengeneza limbwata ..limbwata limedunda.....🤣🤣🤣 limbwata limemrudia....

Hilo ni tukio la kweli,...na unaweza kuona polisi nao walifika kutuliza amani kwenye picha nyingine,na kuku aliyezaliwa akiwa kwenye sahani,pamoja na pamba za madokta walizotumia kwenye zoezi la kujifungua huyo mchepuko...

  Imeletwa kwenu  na ripota wetu huko Zimbabwe