Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 26 Desemba 2017

Madhara ya kuwa na kitambi

⚡ini kuhifadhi sumu na kushindwa kutoa insulin ambayo hupelekea maradhi ya kisukari ambayo hufanya mwili kukosa nguvu za kukabiliana na magonjwa yanayoushambulia mwili ikiwa ni pamoja na

⚡nguvu za kiume, ukiwa na tatizo hili unaweza kushindwa kumuingilia mkeo au kwenda safari moja tu

⚡mwanamke kupata tabu ya kupata ujauzito kwa sababu wanazalisha homoni ya androgen ambayo huzuia kupata siku zake pia hufanya mzunguko wa m,mke kusumbua

⚡magonjwa ya mzunguko wa damu ikihusisha moyo pamoja na mishipa yake ambayo hupelekea kupata PRESHA NA KIHARUSI

⚡👉🏿👉🏿⚡sijui kwanini mwanaume akipungua kitambi dhakari yake huongezeka nchi moja au zaidi

DAWA YA KUPUNGUZA MWILI NA KITAMBI
🌳🌲🌳🌲🌳🌲🌳
TAFUTA UNGA WA MJAIDURU KIJIKO KIMOJA CHA CHAI KOROGA KWENYE MAJI YA UVUGU VUGU NA SI YA MOTO KIKOMBE KIMOJA

🌵🌵KUNYWA KAMA HIVYO KUTWA MARA TATU UJE UNIPE JIBU BAADA YA CKU 21 🌲🌲

Naamini utafurahi

Kwa mahitaji ya dawa hizi na zingine mbali mbali wasiliana nasi
0764995259 whatsapp&
0657739713