Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 6 Desemba 2017

namna ya kumrudisha mwizi aliyekuibia



kumkamata au kumrudisha mwizi aje mwenyewe
unamchukua kinyonga akiwa mzima,
 unaponda majani ya kisamvu,
unachukua na changarawe za njiani

,huyo kinyonga unamuweka kwenye hayo majani ya kisamvu pamoja na hizo changarawe unafunga kwa kwenye kitambaa cheusi

 halafu unafunga jikoni kwenye sehemu inayopata moshi

utamuacha hapo kwa muda wa siku7 baada siku 7 unamtoa hapo kwenye moshi unamsaga ukiwa umefumba macho halafu unaenda kufunga kwenye mti kwa muda wa siku7

 kabla siku7 hazijaisha mwizi wako atarudi mwenyewe na kama mwizi yupo humo ndani  atajisalimisha mwenyewe mara moja

 Wasiliana nasi kwa tiba na ushauri
WhatsApp 0653532036
Call 0764995259