Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 27 Agosti 2015

KUIFUNGA NYUMBA YAKO DHIDI YA WACHAWI NA MAJINI


~Ikiwa kama unasumbuliwa na majini na wachawi nyumbani kwako na umejaribu njia mbalimbali kufanya utatuzi wa matatizo hayo lakini bado hali ni ngumu,inatakiwa uifunge kabisa nyumba hyo kisheria ili wakifika wasiione au washindwe kufanya chochote.

~Ili kuifunga hiyo nyumba usisumbuliwe na hao viumbe waliolaaniwa fanya utaratibu ufuatao

Andaa maji lita20
Yasomee maji hayo aya zote za rukya kisha piga deki nymba yote

Kisha chukua mchanga wa bahari ulio tohara usomee surat Yasinx3 kisha nyunyiza pembe zote za nyumba

Soma ayaturkursiyyu kila pembe madirishani na juu na chini na milangoni

Fukiza altit,kiberiti upele na kafuri

Fanya hivi kwa siku tatu in shaa Allah hutosumbuliwa tena na hawa viumbe

Kama utaweza kufanya hv kila baada ya miezi3 itakuwa mujarrabu zaidi