Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumamosi, 29 Agosti 2015

MWANAUME ANAVYOFUNGWA NA WACHAWI ASIWEZE KUMUINGILIA MKEWE

HABARI ZENU WAPENDWA.

Ipo namna ya uchawi ambapo mtu ukifanyiwa hukufanya ushindwe kumuingilia mkeo hata kama una hamu ya kufanya hvyo.Katika aina hii ya uchawi ndipo pale utajikuta mwanaume ukiwa na mkeo kitandani wakati mnajiandaa ku do utajiona uko fit kabisa na mheshimiwa huko chini anakuwa amesimama vizuri na anajiandaa kwa kwa game hilo la kiutu uzima,lakini unapomkaribia tuu mwenza wako kwa ajili ya kufanya tendo hilo ghafla uume husinyaa na kuishiwa kabisa nguvu za kiume au wakati mwingine unaanza vizuri na ghafla uume unasinyaa ukiwa ndani ya uke.

~kabla hatujaangalia jinsi mtu anavyofungwa kwanza tuangalie jinsi uume unavyosimama

UUME KUSIMAMA HUPITIA HATUA 3

1.Kichocheo cha kihisia kinapotokeza kwa mwanaume,mapumbu huwa yakitoa homoni inayozimimina ktk damu,zile homoni hufika mpaka kichwani na hujaa mwili mzima kama vile shoti ya umeme.

2.Kichocheo hicho cha kijinsia hufika hadi katika kituo maalum cha kazi hiyo katika ubongo.

3.Kituo cha kichocheo cha kijinsia katika ubongo,nacho hutuma ishara kwa haraka hadi ktk kituo cha mishipa ya uzazi katika uti wa mgongo,hapo ndipo vali ya mshipa wa damu iliyokuwa imefunga hufunguka damu ikaanza kububujika kwa wingi katika viungo vya uzazi ikielekea ktk uume na kumimina damu na hapo uume husimama.


MWANAUME ANAVYOFUNGWA NA WACHAWI
~Mchawi humwita shetani na kufanya nae makubaliano maalum ya kumtuma aende kwa fulani akamfunge ili asiweze kufanya tendo la ndoa na mkewe,shetani yule huenda na kuweka kambi katika ubongo wa mwanaume hasa kwenye kichocheo cha kihisia kinachotuma hisia hadi katika viungo vya uzazi,halafu huviacha viungo hivyo vikafanya kazi yake kama kawaida.

~Hapa sasa mwanaume anapomkaribia mkewe ili washirikiane katika tendo la ndoa,shetani huyu aliyetumwa hukiharibu kituo cha kichocheo cha kihisia katika ubongo,na hapo husimama hisia zote zinazotumwa katika viungo vinavyosukuma damu ktk uume ili usimame,hapo ndipo damu inaporejea haraka kutoka ktk uume na uume hulegea na kusinyaa na mchezo unaishia hapo.

~Pia wakati mwingine utamkuta mtu ameoa wake wawili na akawa amefungwa kwa mmoja tuu....akienda kwa mke huyu anapiga game vzr,lakini akienda nyumba nyingine hawezi kufanya kitu.ndipo hapa mtu bila kujijua hujikuta anamaliza dawa za nguvu za kiume na tatizo huwa palepale.


                                                                  TIBA YAKE
~Chukua majani 7 ya mkunazi,ukiyachuma elekea kibla,yasage vizuri na weka kwenye chombo chenye maji
~Weka mdomo wako kwenye chombo na yasomee sura hizi huku unayakoroga yale majani kwenye maji
AYATURKURSIYYU3  IKHLAASW3,  FALAQ3 NA SURAT NNAAS3

Anywe na kikombe1 kutwa mara tatu na aoge siku mara1 kwa muda wa wiki.......

MUHIMU
~Asizidishe maji mengine kwenye maji ya dua
~Asiyachemshe
~Asiyamwage sehemu yenye najisi