Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 23 Agosti 2015

MBINU ZA KUFANYA ILI KUPATA MTOTO UNAYEMTAKA


Zipo njia za kumwezesha mzazi kupata mtoto wanayemtaka kwa kwa kutumia namna anavyofanya tendo la ndoa na mwenzi wake inshaa Allah

KUPATA MTOTO WA KIUME
~Baada tu ya kumaliza kufanya tendo la ndoa, lala kwa utulivu ukiwa hapohapo kitandani kwa muda wa dakika 45 mpaka saa nzima ili kuzipa nafasi mbegu zinazozalisha mtoto wa kiume ziweze kusafiri na kufika kwenye yai kwa kuwa zina sifa ya kuwa dhaifu na zisizo na kasi na hvyo mara nyingi zinaptwa na zile za kike
~Fanyeni mapenzi huku mmesimama
jaribuni mikao ya kupitia nyuma na sio kutazamana uso kw uso km ilivyo kawaida,
~Mikao km chuma mboga ambapo mwanaume anamuingilia mwanamke kwa kupitia nyuma huku mwanamke akiwa amepga magoti au ameinama akiwa amesimamia miguu huku kajishikiza kwenye kiti au meza ni mkao mzuri kwa suala km hili..........
~mkao mwingine ni ule ambao mwanamke anakuwa amelalia tumbo kitandani na mwanaume kumuinguilia mbele lkn kwa kupitia kwa nyuma
katika hili mwanamke anapaswa kuvumilia na asijali sana kustareheshwa kwani endapo mwanaume atamaliza tendo hilo kwa kufika kileleni kabla yake basi bi idhnillah mtoto atakuwa wa kiume

KUPATA MTOTO WA KIKE
~Fanyeni tendo la ndoa mkiwa mmelala huku mwanamke akiwa chini na mwanaume juu
~fanyeni mapenzi mwanmke akiwa juu akiwa amemkalia mwanaume
hapa mwanaume anapaswa kutilia maanani kumridhisha mkewe kwanza kbl ya yeye kufika kileleni mimba ikitunga in shaa Allah atakuwa mtoto wa kike