Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 24 Agosti 2015

ZIJUE DALILI ZA MTU ALIYEINGIWA NA SHETANI NDANI YA MWILI WAKE

~Kama yalivyo maradhi mengine pindi yanapomuingia mwana adam huwa na dalili zake na hizi ndyo dalili za mtu aliyekumbwa na shetani wa kijini

1.Kuumwa kichwa upande mmoja,maskio,meno,mgongo na kifua kuwa kinabana
2.Kuumwa tumbo chini ya kitovu
3.Moyo kwenda mbio na kushtukashtuka bila sababu
4.Mwili kuwa na ganzi maumivu makali na kizunguzungu
5.Kuumwa tumbo sana kwa kina mama na kupata damu kidogo sana isivyo kawaida au nyingi sana
6.Kujihisi vitu vinatembea mwilini
7.Kutingishika na hata kulia bila sababu za msingi
8.Kufunga hedhi bila ujauzito au hata kutopata ujazito wakati vipimo vinaonyesha hauna matatizo yyte
9.Kuota una mimba,unazaa,unanyonyesha au unabeba watoto
10.Kujaa tumbo na kuhisi kitu kinacheza tumboni bila ujauzto
11.Kuharibika mimba baada ya kuota unaingiliwa na mtu anayetisha
12.Ndoto za tendo la ndoa mara kwa mara
13.kuvurugikiwa mipango ya ndoa mara kwa mara
14.Kuhisin km umesimamiwa na mtu
15.Kutopenda ibada na kupenda sana maasi
16.Kuwa na hofu bila ya sababu
17.Kuota ndoto za kutisha,unazikwa,unakufa,jeneza,unatumbukia shimoni,unapaa nk
18.Kulia,kucheka,kupiga kelele au kuongea hali ya kuwa upo usingizini
19.Kuota unaongea na watu waliokufa
20.Kushtuka mara kwa mara usingizini

Si lazima uwe nazo zote ukiwa na dalili tatu tuu kati ya hizo basi utakuwa na tatizo hilo fanya mawasiliano kwa ajili ya kupata matibabu