Limao ni tiba nzur san ya mba kwenye nywele 🍋🍋🍋🍋🍋🍋
🍋🍋 *Namna ya kufanya/kutumia*🍋🍋
🍋🍋chukua vijiko viwili vya limao na jisugulie kichwani kisha kaa nalo kwa dakika 10 mpaka 15🍋🍋
🍋🍋kisha osha na baada ya hapo chukua maji kwenye kikombe kisha tia kijiko kimoja cha limao kwenye hayo maji halafu jimwagie kichwani na kaa nayo usioshe, iache ikaukie humo🍋🍋🍋
🍋🍋🍋 *faida za limao kwenye nywele*🍋🍋🍋
🍋🍋limao lina acidity na inasaidia kuondosha mba kwenye nywele na kuiacha na mvuto na afya na ukuaji bora wa nywele zako🍋🍋🍋
👉🏻🌿🌿🌿 *NB: KUTIBU MBA KABLA YA MATUMIZI YOYOTE YA MAFUTA ITAFANYA NYWELE YAKO KUA NADHIFU NA BORA ZAIDI UKIANZA KUTUMIA MAFUTA, NA MAFUTA MAZURI NI MAFUTA YA ASILI* 🌿🌿🌿
👉🏻🌿🌿🌿 *HAKIKISHA NYWELE YAKO NI SAFI NA HAINA MAFUTA MENGI WAKATI WA KUFANYA ZOEZI HILI*🌿🌿🌿
```tibu mba kwanza kuifurahia nywele yako```💪💪
🍒🌹tiba na ushauri 🌹🍒