Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 6 Mei 2018

kitovu cha mtoto kina siri nzito,tupa vizuri tafadhali!

Ukiongelea kitovu, kuna watu wanaweza kushindwa kuelewa kwa sababu hawajawahi kusikia, na walio wahi kusikia wapo walio dhuriwa.

 Kitovu tunachokusudia ni kile kitovu cha mtoto mchanga, ambacho kimekuwa ni kitu muhimu katika maisha ya mwanadam. Pia kinaweza kikawa sababu ya maradhi ima kupoteza maisha ya Mtoto, au manufaa kwa Mama na mwanae.


*MARADHI YA DEGEDEGE*
Kitovu cha Mtoto kikitupwa vibaya ima jalalani au chooni, unaweza kumsababishia Mtoto kupatwa na kudhurika ima kufariki kwa tatizo la degedege, kwa sababu *JINNI AITWAE TAABIA, AU TAWAABIU KWA WINGI WAO* huweza kumdhuru iwapo atakutana na kitovu hicho na kupelekea kula na kunogewa na damu hiyo na kuanza kumfatilia Mtoto huyo na kumdhuru.


*KUFUKIA KITOVU*
unaweza kufukia kitovu matokeo ukamfunga kizazi Mama wa Mtoto, na unaweza kufukia ukamfunga kizazi Mtoto, ndipo watu wa zamani, wakati wa kufukia kitovu huusisha wazazi wa Mtoto na ndugu muhimu ili iwapo mtoto atadhurika waje kugeuza kitovu ima kufukua na kuhamisha. Pia hufukiwa jioni ili watu wenda usiku (Wachawi) wasiweze kukipata kwa sababu kitovu kinatumiwa sana uchawini kutengenezea unga wa ndele na uchawi uitwao Tayla.


*UMUHIMU WA HAKIKA*
Hakika ni muhimu kwa Mtoto ili kumuepusha na maradhi ya kichawi, pamoja na mashetani wasumbufu kwa wanadamu.
 uislam una mafundisho ambayo tayari yamejitosheleza na hata ukristo pia ingawa mengi yameandikwa katika code language hivyo kutokufahamu na kupuuzia  matokeo yake tunaangukia mikononi Mwa wabayai, Kitovu huwafanya watoto wa kiume wawe *makhanith* pindi kimwangukiapo katika dhakari yake. 

Pia kitovu huweza kusababisha Mwanamke kusumbuliwa na chango la uzazi tokea uzazi wa kwanza na kupelekea kutoendelea na uzazi.

*TIBA YAKE IPOJE??*
kwa tiba na ushauri wasiliana nasi
0657739713
0764995259 whatsapp

au tuandikie barua pepe na tutakujibu kwa haraka 
tibazetutz@gmail.com