Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 16 Mei 2018

*Ugonjwa wa Malaria ni tishio kwa nchi za kiafrika hususani kusini mwa jangwa la sahara*

Tibazetu.blogspot.com
Tibazetutz@gmail

Je wajua mchanganyiko wa-:

Mshubiri (aroevela)

Tangawizi

Asali

Mdalasini

Kitunguu swaumu

*Tiba kamilifu ya ugonjwa wa Malaria*

Chukua mshubiri majani 4 na maji lita Mbili
Katakata chemsha hadi yachemke kabisa kwa muda wa dak10 yakiwa yanatokota Chaja vizur
Menya tangawizi zenye 200g Chukua vidonge 14 vya vitunguu swaumu twanga pamoja na tangawizi. Chukua kitambaa cheupe safi wika mchanganyiko wa tangawizi na vitunguu swaum weka kwenye kitambaa dumbukiza kwenye maji ya arovela yakiwa bado ya moto moto.

Tibazetu.blogspot.com
Chukua mdalasini uliosagwa  vijiko 3 vya chai Changanya vizur na yale maji ya mchanganyiko wa awali aroevella, vitunguu na tangawizi.

Chuja tena Vizur baada ya kuchuja changanya na asali robo lita. Mchanganyiko wa awali unatakiwa uwe bado wa moto moto wakati ukichanganya na asali hiyo.
*Hapo dawa yako itakuwa imekamilika ikiwa na ujazo wa lita 2  robo lita ya asali itakuwa imepotea wakati unachemsha*

Dozi itakuwa ya lita mbili na utakuwa kwa muda wa siku Tatu lita zote mbili ziwe zimekwisha.
Kipimo ni 200ml kila Ukinywa kwa siku  kuNywa  mara 3. Asbh mchana na jioni

Kwa tiba na ushauri wasiliana nasi
0657 739713
WhatsApp
0764 995259