Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 10 Machi 2016

FAIDA ZA MAJANI YA MUHOGO KWA ALIYENG'ATWA NA NYOKA

Majani ya muhogo kwa jina jingine huitwa kisamvu,ni mboga tamu na yenye faida kubwa mwilini mwa binadamu lakini pia ni dawa nzuri ya kumsaidia aliyepatwa na matatizo ya kung'atwa na nyoka.

                              matumizi
ikiwa mtu ameng'atwa na nyoka yaponde majani ya muhogo ya kutosha yalainike vizuri

mpare mgonjwa sehemu aliyong'atwa na nyoka ili kuondoa damu chafu

mbandike majani hayo sehemu alipong'atwa na nyoka  na majani mengine uyakamue apate kikombe kimoja anywe pamoja na maziwa 

ikiwa hayakupatikana maziwa anaweza kutafuna majani hayo kavukavu 

ni muhimu kumpeleka kituo cha afya haraka kwa matibabu zaidi.