Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 28 Machi 2016

JINSI YA KUJITIBU KIFUA CHA PUMU

Chukua majani ya mbuyu yapime upate kiasi cha gramu 100

yasage kwa mashine ya kusagia mboga au yaponde kwa vyovyote vile hadi uhakikishe yamelainika vizuri

tia ndani yake kiasi cha maji lita1

yakamue maji hayo ukiwa na mikono safi iliyooshwa kwa sabuni 

chuja maji hayo na changanya ana asali lita1

tumia dawa hyo glass1x2 yaani asubuhi na jioni kwa siku7 kama bado tumia hadi siku 21


DAWA NYINGINE
Chukua magome ya mchongoma mkubwa utakadiria kiasi cha kutosha 

chemsha kwa maji ya kutosha acha ichemke vizuri

ipua acha ipoe kunywa glass1 asubuhi na jioni kama dawa ya hapo juu inshaa Allah hali yako itakuwa sawa.