Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 9 Machi 2016

WANAVYOFANYA WACHAWI WANAOTUMIA VITABU VYA MASHETANI KUMTIA MTU UWENDAWAZIMU

HABARI YAKO MPENDWA MSOMAJI


Kwanza tunapaswa kujua na kuamini kuwa uchawi upo, tofauti na hisia za baadhi ya watu ambao wanachukulia uchawi kama ni dhana tuu zilizojengeka akili mwa wengi bila kuwa na hakika yoyote ndani yake,hizi ni imani potofu.


Kwa hakika kabisa Uchawi upo na ulianza karne nyingi zilizopita na hatimaye mpaka sasa unaendelea na utaendelea mpaka mwisho wa dunia hii ambapo kila mtu ataenda kuvuna alichokipanda duniani.Kuna zaidi ya aina 400 za uchawi hapa duniani mmoja wapo ukiwemo uchawi huu wa kumtia mtu uchizi ambao hutumika sana na wachawi wanaotumia vitabu vya mashetani katika kuutekeleza uchawi huo.

leo ntakugusia jinsi gani wanavyofanya mpaka mtu mwenye akili zake timamu anachizika na kuwa mwendawazimu kabisaa 

                            WANAANZA HIVII
~kabla ya yote ni lazima zitafutwe kwa njia yoyote ile nywele za mtakiwa na zipatikane japo unywele mmoja tuu(tuwe makini wakati wa kunyoa}

~baada ya kuhangaika na kufanikiwa kuzipata nywele za wanayetaka kumtia uchizi kinachofuata ni lazima watafute karatasi yenye rangi nyeusi

~baada ya kupata vyote hivyo kinachofuata ni lazima wapate lami ya barabara

~hapo sasa wanaandika hyo tarasimu hapo juu pichani kwenye karatasi nyeusi kwa kutumia hiyo lami na kisha zile nywele zake wanaziweka kwenye hiyo karatasi baada ya kumaliza kuandika hiyo tarasimu

~baada ya hapo unaandaliwa moto mkali na ile karatasi inatupwa motoni na hapo mtaalam huyu wa kichawi anaanza kusoma maneno haya mara6(NAYAFICHA WENGINE WANAPENDA KUIGA KILA WANACHOKISOMA)

~akimaliza maneno hayo sasa anatamka hivi ili kuwakabidhi hao watumishi wake wakamalize kazi
''TAWAKKALUU YAA KHUDAAMU ADHIHI AL ASMAA WA ANTA YAA NAASWUR BIDHIHAABI AKILU(anataja jina la mtu anayechizishwa)

~Basi akimaliza tuu kumtaja jina kule alipo muhusika huyo ghafla ataanza kubadilika na kuingiwa na shetani ambaye anamtia uchizi na mwendo wa kuokota makopo unaanzia hapo,na ndipo ndugu huamua kumfunga mnyororo asiweze kuzurura ovyo


MWENYEZ MUNGU MTUKUFU ATUEPUSHE NA WACHAWI

Uchawi huu unatibika inshaa Allah


tiba,maswali na ushauri usisite
+255 653 532036
+255 764 995259
TIBAZETUTZ@GMAIL.COM