Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 14 Machi 2018

Chagueni namba kati ya hizi kisha msome utabiri wake

Habari za leo


( wakati unachagua usibadilishe wala usifikirie)

1    2    3    4

Kama ulichagua namba

1 leo ni siku nzuri zaidi kwako ya kukutana na marafiki zako kujumuika nao, maswala yako unayoyafuatilia yatakuwa magumu ila hadi jioni utapata muelekeo mzuri, hapo ulipo mawazo yako ni pesa na matatizo ya rafiki yako au ndugu yako au mwanao au mkeo au mumeo ni mawazo yanayokuumiza sana unakosa raha au furaha na unatarajia kupata au kupokea msada kutoka sehemu fulan, hapo ulipo kuna baadhi ya vitu umeshavikatia tamaa, kinyota inaonyesha mabadiliko yote utayapata kupitia baadhi ya ushauri wa marafiki zako ila chanzo cha tatizo linalokusibu ni tabia yako yakuongea sana au kujiweka wazi sana kwa marafiki unaowaamini.
Unashauriwa kuacha ubahili ili upate kile unachokihitaji punguza hasira acha kulazimisha mambo pia pesa unayodai sehemu hutaipata kama ulivyotegemea jitahidi kufanya tabia zako mbaya kisiri siri au kuziacha kuna uchunguzi unafanyika kisirisiri unaweza kubadili sura za wale wanaokuamini.

2 unaonekana kutofautiana na mtu kati jana au leo (itatokea) utagombana na mtu hali hii isikufanye kuwa mtu wa hasira na mtu za kudumu tabia hii sio nzuri inaweza kupoteza nafasi uliyopo au kuanguka hapo ulipo, unaonekana kupenda sana biashara lakini wewe ni mzito sana kufuatilia jambo na hii ndio inayokuangusha katika sehemu nyingi ambazo unapita au unahangaikia wewe ni mzito hata katika matumizi ya dawa au kuiimarisha afya yako, maisha yako yamejengwa katika mfumo wa kupenda pesa mno na hii ni hali ambayo ipo ktika damu yako je utapata vipi pesa na wewe ni mzito katika ufuatiliaji? Badilika na uombe muongozo juu ya kile unachokihitaji kifanikiwe na mafanikio utayapata, kinyota unaonekana kama huna kitu cha thamani kama nyumba au gari basi inaonyesha utakiwa nacho iwapo utabadilika, punguza starehe pia

3 fitna na choko choko zinakuvaa huku na kule ila hii ni dalili nzuri mno kwako( mwizi hamuibii mtu aliye uchi wa mnyama atamuibia nini ilhali hana kitu au ataiba uchi wake?) hii inamaani sha wewe ni mtu unaeonekana una kitu fulani yani unabahti fulani hivyo wewe huioni ila wenzio wameshaiona ndio maana hufanya kila namna ilhali ukose kitu cha juu yao ili mlingane unahusiwa kuwa subra kupambana bila kuchoka wala kukatisha mapambano safari yako ina mafunzo makubwa kwa wengine katika maisha yajayo wewe ni mtu unaekosa ila sio kabisa unapingukiwa tu japo pesa zako hazikai ila fanya ibada kuwa mbali na maneno ya watu waache waobgeee mpaka wachoke wataacha wenyewe( safari hapo juu sio ya basi ni ya maisha)

4 afya yako inaweza kuwa sio nzuri kama sio sasa ni baadae hii inatokana na aidha kauli mbaya uliyomtolea mtu uliemuona kuwa anajatia kumbe hana hatia, hii hali itapita hapo ulipo kuna matumaini umeyapata au unayategemea kuyapata pia unaonekana sana mawazo yako ni juu ya mpenzi wako na kazi yake au mambo yake, wiki hii utapokea habari isiyoridhishs kutoka kazi kwa unaeishi nae ipokee vizuri tu ni mapito, mambo yako yatafunguka baada ya kuwa yalijifunga kw kipindi kirefu, chuki za watu usiogombana nao zisikukwamishe mambo yako fanya mambo yako kila mtu aliye na kizuri kwa asiye na kizuri lazima atamaniwe jitahidi kupambana hali yako au shoda yako itaisha, unaonekana kuchoshwa na hali fulani ya maisha usichoke lipo fungu lako muumbaji wetu hawahi wala hachelewi
 Na usifikirie kuwa safari zote zinatimia bila kero hata kidogo lazima iwepo kero , jitahidi kupunguza wapenzi au marafiki maana unaonekana kuwa na wapenzi wengi wengine sio miondoko yako watakuharibia muelekeo wako asanteni kwa kufuatilia blog yetu