Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 21 Machi 2018

MMEA WA DIEFFENBACHIA WENYE JINA MAARUFU LA DUMB CANE NI MMEA WA HATARI WENYE SUMU KALI YA KUUWA BINADAMU.


Tibazetu.blogspot.com
Mmea wa dieffenbachia ujulikanao kama dumb cane ni genus ya mmea wa tropiki wa familia ya Araceae.

Mmea huu asilia yake umetoka Mexico na Argentina ya kusini.

Chembe hai za dieffenbachia( dumb cane) zina mdungo mkali wa kemikali ya sumu iitwayo calcium oxalate crystals ziitwazo raphides.
Tibazetu.blogspot.com
Raphides ikiingia kwenye mwili wa binadamu huleta mwasho na kusababisha mwili wa binadamu kuvimba nà hatimaye kusababisha  kifo.

Picha ya mmea huo nimeipata kwa hisani ya member mmoja aliye kwenye group hili ambaye ni jirani yangu mwema.

Tibazetu herbalist clinic

Call and WhatsApp
0657739713
0764995259
Tibazetutz@gmail.com