Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 19 Machi 2018

Namna ya kufanya hili ujimilikishe nguvu za miujiza kwa dawa zinazopatikana kiurahisi

1)MIMEA YA KULA
Ifuatayo ni mimea inayoweza kuliwa kwa lengo la kujiambukiza na kumiliki
nguvu za asili za miujiza.

1) Juice ya blue berry.
2) Ulaji wa majani ya holy basil ambayo yanapaswa kupikwa na mboga ya aina
yeyote ile.
3)Chai ya mdalasini kiingreza inaitwa cinnamon tea mbayo inapaswa
kutengeneza kwa kutia vijiko vitatu vya chai vya unga wa mdalasini( Cinnamon
powder) ambao utatoa vikombe vitabu vya chai. Chai hii inapaswa inyweke
kwa miezi sita.

DAWA ZA KUJIFUKIZA.
1) Ubani ambao kwa kiingreza unaitwa frank incense ni dawa maarufu duniani
inayotumika kujiambukiza na kujimilikisha nguvu za asili za miujiza kwa njia ya
kujifukiza kila siku kwa miezi sita.
2)Mdalasini( cinnamon) ni dawa ya kujifukiza iliyo na uwezo mkubwa kuliko
ubani. Dozi ya mdalasini ni miezi mitatu. Pia mdalasini wakati wa kujifukiza
unakuwezesha kujipanga kwenye alama za nembo za miujiza zinazohusiana
na meditation na alama za vitendo vya mwili ambavyo nitawafundisha hapo
baadaye. Angalizo muhimu ni kwamba baadhi ya mizimu au mashetani au
majini hudhulika na fukizo ya dawa hiyo. Na pia yapo mengine hupenda sana.
3)Rose Mary unatumika majani yake makavu kutiwa kwenye moto wa mkaa
kama ubani kwa lengo la kujifukiza moshi wake.

3) DAWA ZA KUOGEA.
1)Mchemsho wa majani ya holy basil hutumika kwenye maji ya kuogea
2) Mchemsho wa majani ya rose Mary hutumika kwenye maji ya kuogea.
3) Mchemsho wa majani ya lavender hutumika kwenye maji ya kuogea.
4) Mchemsho wa magome ya mdalasini hutumika kwenye maji ya kuogea.
Ukikosa magome basi unapaswa kuchukua unga wa mdalasini na kuufunga
kwenye leso na kisha kuuchemsha kwenye maji utakayoogea.
MAFUTA
1) Mafuta ya ubani hutumika kupaka mwilini.
2) Mafuta ya rose Mary hutumika kupaka mwilini.

PERFUMES.
1)Perfume ya rose Mary na holy basil.

 naomba niwafahamishe kuwa juice ya blue Berry ni ile juisi ya
matunda ya mfarafaraji. Matunda yake ni madogo madogo ambayo yanaweza
kuliwa kwa kutafuna yote na kumeza.
Haya matunda yanapatikana kwenye sehemu zote za joto kama vile Kanda
zote za maziwa makuu, bonde la ufa na pwani

Kwa maulizi,tiba na ushauri
0764995259 WhatsApp
0657739713