Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 19 Machi 2018

Mnyonyo ni dawa nzuri ya u.t.i sugu na kurekebisha kiwango cha sukari

Mti huu ndiyo unaitwa MNYONYO AU MBONO
Mti huu unatibu *UTI* sugu na Ku control Sukari wenye magonjwa ya kisukali.

Matumizi yake......
Chuma majani haya pamoja na hiyo mikonga yake chuma mengi yakutosha chemusha kwenye sufuria kama Lita 10 hivi za maji baada ya hapo ipua, subilia yapoe usiweke kwenye freeze tafadhali.
Basi anza kunywa kadiri ya uwezo wako haina kipimo wewe kunywa kama maji utakojoa sana baada ya siku 4 mpaka 6 nenda kapime hiyo *UTI* utapata majibu hapo hapo au wwe mwenyewe utaona mabadiriko kwenye mwili wako.