Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 26 Desemba 2016

FAIDA 4 ZA UUME WA NG'OMBE MTOTO(NDAMA) KATIKA TIBA



1.Amesema Imamu ( القزويني ) Uume Wa Ndama Ukiukausha Kisha Ukauchoma na ukausaga ukapata unga wake Ukila Unga Huo Kijiko 1 Kikubwa Kwenye Asali Vijiko 3 Vikubwa Utaongeza Nguvu Za Kiume maradufu.Na Utaona Kwa Macho Yako Utakavyokuwa Kwenye tendo La Ndoa Mpaka Utaona Ajabu utakuwa na uwezo wa kwenda round zozote utakazo wakati haikuwa hali ya kawaida




 2..Pia Ukichukuwa Unga Huu Kisha Tia Kwenye Maji Nusu glas Wacha 15 Dk Kisha Sukutua Huondoa Maumivu Ya Meno. 



3..Pia Unga Huo Ukichanganya Na Dawa Inayoitwa ( Sakanjibani ) Arabic ( السكنجبين ) Hutibu Ugonjwa Wa Moyo .




4.. Pia Mwenye Kuota Ndama Sio Ngombe Mkubwa Ndama Fasiri Yake Utapata Mtoto Tena Wa Kiume.