Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 25 Desemba 2016

MAFUSHO YANAYOTUMIKA KUCHOMA KATIKA JAMBO LA KHERI MPANGILIO WA WIKI NZIMA

HABARI YAKO MPENDWA
NAKUTAKIA KHERI YA CHRISTMAS!
************************************************
************************************************
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,mafusho au bukhuri ni zile zinazochomwa wakati mtu anafanya jambo la kitaalam haijalishi iwe anafanya kwa ubaya kwa wema

katika kila jambo liwe la kheri au la shari kuna mafusho yake ndyo maana yakaitwa bukhuri za shari na bukhri za kheri.

leo nitazungumzia bukhuri za kheri kulingana na utawala wa siku husika unayofanaya jambo hilo.

Jumapili
ikiwa kazi yako hiyo unaifanya siku hii tumia MIYAT SAILA NA UBANI

jumatatu
ikiwa kazi yako hii unaifanya siku hii tumia UDI NADI AU UBANI MASHTAKA

jumanne
ikiwa kazi yako hii unaifanya siku hii tumia SANDALI NYEKUNDU,SANDARUSI,KANDALI

jumatano
ikiwa kazi yako unaifanya siku hii tumia UBANI MASHTAKA NA KARAFUU

alhamisi
ikiwa kazi yako unaifanya ndani ya siku hii tumia JAWI

ijumaa
ikiwa kazi yako unaifanya siku hii tumia UDI NADI NA SHABU YA YEMEN

jumamosi
ikiwa kazi yako unaifanya ndani ya siku hii tumia UDILHINDI NA MIZIZI YA MTI UITWAO SADAMU