Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 26 Desemba 2016

NJIA YA KUMUITA LUSIFA MKUU WA MAJINI AJE HAPO ULIPO NA AKUSIKILIZE

Kuwa makini,tafakari kwa kina kabla ya kuanza na uamue kwa dhati bila kujaribu,na usiwe muoga

Andaa vitu vifuatavyo kabla ya kuanza kazi yako
1.mishumaa mekundu 2
2.mishumaa meusi 2
3.kisu kikali sana
4.damu ya mbuzi glasi2
5.picha ya lusifa
6.sauti
7.sehemu yenye utulivu wa hali ya juu


Kwanza inatakiwa ukae chini na uvute taswira ya hiyo picha ya Lucifer katika kichwa chako.

chukua kisu halafu choma kwenye hiyo picha halafu sema
"I invoke thee Lucifer bright morning star you are to show me power and wisdom and help me gain my ever lasting desires."

Halafu washa mishumaa na useme tena;...
"I invoke thee Lucifer,this is my oh divine purpose Lucifer to have communication with you, do my bidding Lucifer with no strings attached. I ask for the powerful goddess tyche to aid me in getting you Lucifer to obey me."

baada ya hapo unatakiwa Kunywa glass moja ya damu ya mbuzi halafu glass 1 iache kama sadaka.halafu subiri kidogo atakuja na utaona glass imenywewa hapo ujue ameshafika na anza kufanya nae maagano.