Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 28 Desemba 2016

KUMFANYA MTU ACHUKIWE NA BOSI MPAKA KUMFUKUZISHA KAZI

ONYO
USIMFANYIE MTU BILA SABABU ZENYE MASHIKO
Image result for job punishmentChukua nazi yenye macho matatu,na toboa macho hayo mwaga maji yote yaliyopo ndani yake
andika jina la mtu unayetaka kumfukuzisha kazi mara 3 kwenye karatasi,andika kama vile inavyoandikwa misalaba ya makaburini mfano.
Alex idd
amezaliwa (andika tarehe ya hiyo siku unayofanya jambo hili)
amekufa (andika tarehe ya siku ya 15 kutoka siku unayofanya hivi)


yaweke majina hayo chini uweke nazi juu yake

chukua nyongo ya ndege au mnyama yeyote na siki utie ndani ya nazi kupitia macho uliyotoboa
mwagamwaga siki kuzunguka nazi na majina washa mshumaa mweusi weka juu ya nazi



acha hapo na uwe unawasha mshumaa kila siku ukiisha usiutupe bali washa mwingine


itaanza migogoro ya hapa na pale siku ya 15 atafukuzwa kazi.