Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumamosi, 31 Desemba 2016

TAMBUA KIASI CHA MAJI UNAYOKUNYWA KWA KUCHUNGUZA MKOJO WAKO




Mweupe kabisa (Usio na Rangi):
Unakunywa maji mengi kupita kiasi.
2. Manjano iliyochanganyika na Kijani kidogo:
Ni kawaida, una afya na Mwili wako una maji ya
kutosha.
3. Manjano iliyo pauka:
Upo kawaida tu. Endelea kunywa maji ya
kutosha
4. Njano iliyo kolea:
Upo kawaida lakini unashauriwa kunywa maji ya
kutosha.
5. Njano inayokaribia kufanana na Kahawia au
Rangi kama ya Asali:
Mwili wako hauna maji ya kutosha. Kunywa maji
kwa wingi sasa.
6. Rangi ya Kahawia:
Huwenda una Matatizo kwenye Ini lako au
Upungufu mkubwa wa Maji mwilini. Kunywa maji
ya kutosha na umwone daktari kamali hii
ikiendelea.
7. Rangi ya Pinki inayokaribia kuwa kama
Nyekundu:
Kama hujala matunda yoyote nyenye asili ya
uwekundu, basi huwenda una Damu kwenye
kibofu chako cha mkojo. Inaweza ikawa sio
ishara mbaya. Lakini inaweza ikawa ishara ya
ugojwa wa Figo, uvimbe, matatizo kwenye njia
ya mkojo, au matatizo kwenye kibofu. Muone
daktari haraka iwezekanavyo.