Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 3 Januari 2017

MJUE FARASI WA BAHARINI NA FAIDA ZAKE,NA MAANA YA KUOTA NDOTO ZA BAHARINI

Kiumbe huyu pichani anaishi ndani ya bahari na jina Lake ni farasi wa baharini

faida zake
 1.nyogo yake ukichukuwa na kuiweka Ndani Ya Chupa Ya Maji Kwa Muda Wa Siku 30 na kisha itoe halafu isage Na ujipakae kama wanja(ule wanaopaka wanawake juu ya nyusi zao kwa muda wa Siku 14 huondoa majimaji yanayotoka kwenye macho na pia hutibu ugonjwa wa macho aina zote na hutougua tena ugonjwa huo hadi kufa kwako

 2.Ukiweka Kwenye Chupa Kwa Muda Wa Siku 24 Kisha Maji Yale Jipakee Mwili Mzima Kwa Siku1 tu Mwili Wako Hata Ukichomwa Na Moto Hutoweza Kuungua Na Moto Huo wala kuskia maumivu yeyote

3.Pia Ukimuota Huyu Farasi Wa Baharini Tafsiri Yake Inakujulisha Wewe Ni Muongo Na Jambo Lako Lolote Huwezi Kulitimiza .

4.Pia Ukiota Umekaa Kati Kati Ya Bahari Tafsiri Yake Inakujulisha Ktk Vitu Unavyo Vimiliki Kimoja Wapo Kitakuletea Hatari .


5.Pia Ukiota Unakunywa Maji Ya Bahari Inakujulisha Utapata Mali Kutoka Kwa Kiongozi Wa Ngazi Za Juu . 

6.Pia Ukiota Bahari Unaimiliki Kwenye Mkono Wako Kisha Haikujichanganya Na Kitu Au Maji Mengine Tafsiri Yake Wewe Utaingia Katika Kufutu Mas-ala Fulani Kama Sheria 

7.Pia Mwenye Kuota Anakunywa Maji Ya Bahari Bila Ya Yeye Kuwa Katika Bahari Hiyo Mtu Huyo Atapata Kufarikiana Na Watu Kwa Kauli Ya Allah Alivyo Sema Kwenye Qur-an Aya 50 Ktk Suratil Bakara...

 8.Mwenye Kuota Anatembea Kwenye Bahari Kama Nchi Kavu Ataondokewa Na Hofu Mtu Huyo Kama Allah Alivyosema Kwenye Qur-ani Aya 7 Ktk Suratil Twaha.