Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 6 Januari 2017

JE UNAJIJUA KAMA UMEFUNGWA KICHAWI?


Kumfunga mtu ni kitendo cha kumzuia mtu asifanye jambo fulani katika hali ya kawaida na alifanye kinyume na kawaida
mfano mwanaume anaweza kumfunga mwanaume mwenzake asisimame uume wake kutokana na mwanaume huyo kutembea na mkewe na kuonywa bila kukataa au kusikiliza maonyo aliyopewa hali hii kwa mwanaume atadumu nayo sana mpaka atakapogundua chanzo cha tatizo lake la nguvu za kiume limetokana na kifungo lakini pia mwanamke anaweza kumfunga mumewe asifanikiwe kumuingilia mwanamke mwingine yoyote n.k. huo ni mfano wa mtu kufungwa kichawi kwa jambo lolote basi utakuwa katika utofauti mkubwa katika lile ulilofungwa

Nini wanafanya mpaka wawe wamefanikiwa kukufunga???
Wanachukua moja ya vitu vinavyotokana na wewe kama vile jasho,mate.,mavi,mkojo,shahawa pamoja na nguo zako itachukuliwa nguo yako na itaenda kuchanganywa na nguvu za kichawi ambazo huambatana na dawa na maneno yao ya kishirikina na huzichukua kwa pamoja na kwenda kuzifukia katika sehemu kuu tatu
1 katika makaburi huku wakishafukia wallahi utahangaika sana kupata suluhu ya jambo lako iwe nguvu za kiume,kazi,uzazi,mume,mke,kuoa au kuolewa utasota na utamaliza muda sana mpaka ugundue kilichofanywa

2 katika kisima cha kale au kilichokauka hapa napo ni katika vituo vyao muhimu katka ulozi na kituo hichi hupendelea kufukia nywele au kucha za mhusika

3 katika jalala,kihame,na gogo lisilochimbwa pia humu hutumika katika kufunga mtu au jambo sanasana kesi hufungwa humu na ndo hapo utasikia mtu anaamua kuachana na kesi yake japo ni haki yake aisee uchawi bhana!

Hizo ni njia na namna zitumikazo katika kumfunga mtu 

DALILI ZA ALIYEFUNGWA 
1.utakuwa mtu usiye na maamuzi aidha katika kazi,au kwa mkeo,mumeo,muajiri wako na utashindwa hata kujifanyia maamuzi binafsi katika mambo yako ya msingi utashindwa kujiamulia

2 utakuwa mwingi wa kudhulumiwa kwa maana mwepesi wa kutoa mgumu kurudishiwa hapa mtu akikukpa hela utampa kwa wepesi ila kurejesha inakuwa mtihani hapa ujue umefunguliwa milango ya kutoa na umefungwa milango ya kuingiza utalipwa madeni yako lakini kwa shida sana

3 kama unatafuta kazi utaipata kwa shida sana na itakuwa na misukosuko mingi pia hutadumu nayo kutokana na migogoro na wakati mwingine inatokea mwenyewe tu huipendi kazi yako na utaiacha

4 utakuwa na pesa lakini hutaweza kuitimiza ndoto yako japo uwezo wa kipesa wa kuitimiza upo ila utajikuta ukipata pesa ndo chanzo cha mitihani aidha kuumwa mkeo,mumeo,wanao,ndugu na jamaa hatimae hela kuishia kwenye matatizo

5.upatikanaji wa pesa kuwa mgumu au mwepesi lakini pesa kuisha bila utaratibu na hupati pesa mpaka umalize uliyonayo

6 watu hawatakuamini na utatiliwa shaka hadi mkeo au mumeo hatakuamini

7 utajengewa chuki na watu wa karibu kama mama au baba au dada watakuchukia sana mqaka uwaze mabaya hata kujiua

kama umekutwa na hiyo hali pole sana tafuta tiba
0653 532036 whatsapp,viber na imo
o764 995259
tibazetutz@gmail.com