Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 6 Januari 2017

YAJUE HAYA KUPITIA KIGANJA CHAKO


angalia katika kiganja chako kama kuna pembetatu au pembe nne ujue wew ni mtu mwenye bahat kubwa kubwa

angalia pia katika kidole gumba cha kulia kuna mstari mkubwa ambao umetoka kushoto kwenda kulia kama unavijistari vingi vingi wewe ni mtu ambae katika maisha yako unatakiwa ushike pesa nyingi kwa kazi yoyote unayoifanya{yani wewe ni mwenye bahati na pesa}

ikiwa una umbo la pembe tatu au nne kwenye kiganja kisha huoni bahati zozote elewa tu umenyang'anywa na wachawi na akapewa mwingne bila yeye kujua kuwa anatumia bahati zako,


ikiwa unavijistari hvyo katika kiganja chako na huoni pesa au unapata kidogo elewa nyota yako ilichukuliwa siku 1 ambayo uliombwa na mzee 200 ya kahawa au sigara au uliombwa na mtoto hela ya pipi ukampa 100, 200 au 50 bila wewe kujua kuwa mtoto huyo au mzee huyo ametumwa ila wewe ufilisike na pesa zako ziwe ndogondogo au ukipata nying upate matatizo na usizifanyie kitu cha maana.