Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 3 Januari 2017

JICHO LA KULIA LA NUNGUNUNGU NA FAIDA ZAKE

 Jicho la Nungunungu la mkono Wa kulia litie kwenye sufuria ya shaba tia Na mafuta ya lozi chemsha kwenye moto kisha yakisha poa jipakae kama wanja wakati Wa usiku 

Faida kubwa utakapojipaka mafuta haya Usiku kwako utakuwa kama mchana kwani utaweza kuona hata kitu kilichopo gizani zaidi ya mita100

Pia usiku wowote utakapoingia hutakihofu kitu Chochote kitembeacho Usiku huo hofu itakuwa imekuondokea.

mafuta haya yanapatikana
0653 532036 call au whatsap
tibazetutz@gmail.com