Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 9 Januari 2017

JEE WEWE MWANAMKE UNA MIKOSI KATIK NDOA YAKO?MAGONJWA HAYAISHI SHIDA BALAA NA NUKSI TANGU UOLEWE?


BASI TATUA MATATIZO YAKO KWA KUFATA UTARATIBU HUU

SIKU IJUMAAA

MDA SAA MOJA KAMILI

MAHITAJI

UBANI MAKAA
 UVUMBA
UDI WAKUPIKA

HIZI ATUMIE KUCHOMA WAKATI WA KISOMO CHA HAPO CHINI


.TAFUTA MWALIMU ANAYEJUA KUSOMA KUR ANI

AANZE NA

KUMSWALIA MTUME MARA 100

ASTAGHFIRU MARA 100

BISMILLAH MARA 100

HASBINA LLAH WANIIMAL WAKIL MARA 1000

ALHAMDU MOJA
NAS MOJA
FALAQ MOJA
AHAD MOJA

ATIE NIA MWALIMU NA MSOMEWAJI

HALAFU ANZE NA KUKUSOMEA JAUSHAN KADIR NZIMA

NA AMALIZIE NA TABAL ASMAI

NA AMALIZIE NA BAJUL ARSH

BASI KWA UWEZO WAMUNGU MATATIZO YOTE YATAONDOKAAA

NA AWE ANAJIPAKA MAFTA YA MTINI YALIYO MUJARRAB


YATAKWISHA