Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 31 Januari 2017

Kwa wanaotaka dawa za kuzaa mapacha



Tafta mti ambao juu yake umeota mti mwngine
Ukiupata fanya yafuatayo

Chukua mihogo 2 ambayo inapacha nenda nayo pale ktk ule mti ukifika umwagie maji yaliyo na unga wa mtama mweupe na maji hayo yawe yametekwa cku iyo

Omba huo mti uku umeushika huo mti kwa mikono 2
Kisha iyo mihogo ifunge ktk huo mti mmoja muhogo ufunge matoka jua na mwngine ufunge upande wa mazama jua

Funga izo mihogo kwa kutumia nguo nyeusi

Ukimaliza nenda nyumban
Cku iyo usifanye chochote namanisha usifanye mapenzi

Asubuhi nenda kabla ya jua halijatoka ukifika utakuta sisimizi ktk hiyo mihogo para magome ya hapo palipo na mihogo yako kisha panda juu para pale palipootea huo mti mwngine na shuka chini kisha nenda nyumban

Vyote ivo visage viwe unga

Iyo tayali kwa matumizi

Mwanaume chanja chale moja kwenye kinena
Na mwanamke chanja chale 2 kushoto kwenye kinena na kulia
Kisha
Mwanauke kuwa unakunywa hii dawa kwa uji wa unga wa mtama mweupe baada ya kutoka ktk cku zako mpaka cku ya 5
 na mwanaume jitahidi kutoa dozi  ktk cku ya 11 mpaka ya 16 utaniletea majibu hapa kitakachoendelea

dawa hizi zilizopo tayari zinapatikana
0653 532036 whatsapp