Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 24 Januari 2017

DAWA YA UVIMBE TUMBONI NA KWENYE KIZAZI

TUMIA MOJA KATI YA HIZI


               1
👉Chukua magome ya mizizi ya MTOPE TOPE na uyasage upate unga wake
👉Chukua kijiko kimoja cha unga huo Kwa uji mchuchu (uji usio na sukari, chumvi wala asali)  kikombe kimoja kutwa mara mbili siku 14


                2
👉Chukua unga wa utovu wa MNYARA kijiko kimoja
👉korogea kwenye uji wa dona kikombe kimoja kisha kunywa.
👉hii ni mara moja tuu kwa siku  ni dozi ya siku moja tuu.
👉pia ni mujarrab kwa kupunguza unene,  vitambi na mafuta

Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi