Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumamosi, 14 Januari 2017

JEE WEWE UNA TATIZO LA NYONGA LINALOKUSUMBUA MUDA MREFU

MAHITAJI

Majani ya mbono 15
Mafuta halisi ya mtini
halmiti
usubi kipande
kanga au tenge
mkaa
chumvi

chukua kanga au tenge tandika sakafuni

chukua majani ya mbono mwaga kwenye ile kanga na uyatawanye

chukua mkaa wa moto uwe mwingi kidogo na uweke kwenye majani ya mbono na ukunje mara4 ina maana mkaa ufunikwe na majani kanga isiiungue

chukua dawa zako na changanya vizuri kisha ujipake kwenye nyoga  na ulale chini mtu awe anakupiga pasi kwa ile kanga yenye majani ya mbono hadi uzimike moto wote

fanya kwa wiki mara2 kwa mwez mmoja


NI TIBA NZURI KWA MATATIZO YA NYONGA HATA KWA WATU WENYE UMRI MKUBWA SANA.



ANGALIZO

UMAKIN WA HALI YA JUU UNAHITAJIKA

Kwa malekezo zaidi wasiliana nasi
0653 532036 whatsap,viber na imo
0764 995259