Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumamosi, 7 Januari 2017

JE WEWE NI MWANAMKE UNAYETAMANI KUOLEWA,LAKINI HUPATI MUME?

hii ni kwa wanawake wasiiolewa tu
usifanye kama una mume tayari kwani utapata usumbufu kutoka kwa wanaume watakaotaka kukuoa tena!

MWANAMKE ambae hajaolewa na yeye anataka kuolewa basi andike suratul fajir kwa kutumia zafarani,aandike sura yote hiyo kisha afute na achanganye na hina na ajipake mikononi tuu.

Kisha pakaa mafuta halisi ya mtini utosini,masikionii na katika tundu za pua kwa siku  saba kutwa x2 huku ukijifukiza kwa mafuta hayo kwa siku7

kama una nia thabiti ya kuolewa na sio kufanya uhuni basi utaolewa tu kwani wanaume wenye nia hiyo watajitokeza na utaangalia chaguo sahihi kwako.

zingatia
ni kwa ajili ya mwenye nia ya kuolewa na si vinginevyo