Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 4 Januari 2017

MAANA YA ALAMA ZA MWILINI MWAKO

Alama hizi ni kama alama fulani nyeusi,au kijiuvimbe cha asili huwa hakiumi,hakipungui wala hakizidi....

uvimbe huo ukiwa -;
1.katikati ya paja la uso
wewe ni mtu mwenye hasira,roho mbaya,jihadhari sana na ajali katika kipindi cha ujana wako kwani una nafasi kubwa ya kupata ajali.

2.juu ya nyusi kushoto
wewe ni mfujaji,ila ni shupavu unashauriwa uwe makini na tabia zako 


3.juu ya nyusi kulia 
una uwezo wa kufanya jambo lolote utakaloamua kulitimiza na likatimia kama upendavyo,jichunge na uwe makini na magonjwa

4.chini ya nyusi
mvumilivu,mwenye raha na amani kwenye ndoa jihadhari na umeme na sumu za vyakula kwani vina nafasi kubwa kukuharibia afya yako

5.kona ya jicho la kushoto
wewe una tabia ya uaminifu na uwazi

6.sikioni
unapenda kuwa na mali(utakuwa na mali) na umaarufu pia una tabia ya kutokujali

7.shavu la kushoto
ni mtu makini,una bidii sana katika mafunzo au kazi na una jitihada nyingi

8.shavu la kulia
utafanikiwa katika shughli zako za kimaisha,unashauriwa kujituma na kutokata tamaa

9.mgongo wa pua
ni mtu wa matamanio sana pia ni muharibifu wa mali

10.upande wa kushoto wa pua
una tabia ya kubadilikabadilika jihadhari utaanguka

11.juu ya tundu la pua
unapenda tabia ya uzururaji

12.kwenye mdomo kulia
mroho,mkarimu na mwema

13.kwenye mdomo kushoto
mkimya,mkarimu na mwenye mafanikio

14.kidevuni
mtu makini sana,mwangalifu sana na una uwezo mkubwa kisanii

15.taya la chini kushoto
unapenda tabia ya ukosoaji,kusema wenzio jihadhari na afya dhaifu

16.taya la chini kulia
jihadhari sana na moto au maji